Barua aliyoiandika Cohen kabla ya kifo chake itafunguliwa, mawakili wasema
- Waraka huo umetumiwa wakili wa Sarah Wairimu, Philip Murgor, Danstan Omari, dada ya marehemu Gabrielle Cohen na Bernard Cohen
- Mapema wiki hii, mjane wa marehemu aliiomba mahakama kumwachilia huru kwa dhaana ili kushiriki kesi ya mgogoro kuhusu mali
- Marehemu atazikwa Jumatatu, Septemba 23 kwa kufuata taratibu na itikadi za Kiyahudi katika makaburi ya dini hiyo kwenye Barabara ya Wangari Maathai
Wosia wa marehemu bilionea raia wa Ujerumani Tob Cohen na agano lake vitasomwa Ijumaa, Septemba 29 mwendo wa 11.
[Read More]